KAMBI YA SIMBA MOROCCO YAZUA JAMBO

In Kitaifa, Michezo

Benchi la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa kambi yao ya
nchini Morocco ilikuwa nzuri kutokana na kila mmoja
kuifurahia kambi hiyo na jambo kubwa ambalo limeweza
kuonekana ni uwezo wa wachezaji pamoja na ushirikiano
kiujumla.


Mabingwa hao watetezi kwa msimu wa 2021/22 waliweza
kucheza mechi mbili za kirafiki ilikuwa dhidi ya FAR Rabat na

waliweza kufungana mabao 2-2 na mchezo dhidi ya Olympique
Club de Khouribga na walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-
1.
Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa
walikuwa katika nzuri ya maandalizi ya msimu mpya jambo
ambalo ni furaha kwao.


Kwa sasa kikosi cha Simba kimeweka kambi Arusha na
watakuwa na mechi za kirafiki kwa ajili ya kujiweka sawa.


Pia watakuwa na mechi za kirafiki ambazo zitakuwa maalumu
kwa ajili ya kuelekea Simba Day kwa ajili ya utambulisho wa
wachezaji na uzi mpya.


Ni Septemba 19 Simba wanatarajia kufanya tamasha hilo
linasubiriwa kwa shauku na mashabiki pamoja na wadau wa
soka.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu