Kesi ya Zitto Kabwe yakwama kusikilizwa

In Kitaifa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kusikiliza ushahidi wa kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa sababu upande wa mashitaka umekosa kibali cha kuita mashahidi kutoka mkoani Kigoma.

Hayo yamebainishwa na Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitishwa kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu