Kijana Tumaini aandaa kongamano la wafugaji wa Kuku.

In Kitaifa

Katika kujinasua na tatizo la ajira na umaskini Kijana msomi ajulikanae kama Tumaini Mkalemba mkazi wa Olasiti mkoani Arusha ameanzisha kiwanda kidogo cha ufugaji wa kuku wa mayai na nyama.

Kijana huyu amesema kuwa swala la ufugaji wa kuku lilikuwa tayari ni malengo yake wakati anasoma lakini pia ilikuwa ni mojawapo ya njia ya kutimiza ndoto zake

Tumaini amesema kuwa ameanza kufuga kuku wachache lakini licha ya changamoto ya magojwa ya kuku pia amejitahidi kukabiliana nazo ambapo kwa sasa ana kuku zaidi ya elf 2

Amesema kuwa ana malengo mazuri ya kuwasaidia vijana ambao bado wana uwelewa mdogo kuhusiana na ufugaji ambapo amekuwa akiandaa makongamano kwa ajili ya kutoa elimu

Halikadhalika ameandaa kongamano la wafugaji wa kuku Mkoani Arusha amabalo litafanyika siku ya Jumamosi katika Hotel ya Naura spring iliyopo Jijini Arusha

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

PICHA:Rais Magufuli akitoa salamu za pole familia ya Kikwete

Kufuatia kifo cha Rashid Mkwachu ambaye ni Baba mzazi wa mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, mama Salma

Read More...

Lugola awapa maagizo wakuu wa majeshi, Wafungwa watumie nguvu zao kujitaftia chakula.

Waziri wa mambo ya Ndani, Kangi Lugola mapema leo hii ameongea na vyombo vya habari akiwasilisha maagizo mbalimbali ambayo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu