Kinachofanyika Arusha kuhusu Elimu kinashangaza.

In Kitaifa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dkt Maulid Suleimani Madeni, amekabidhi madawati zaidi ya mia tisa yenye thamani ya zaidi ya milioni 79, katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya jijini Arusha.

Madawati hayo yametoka katika karakana ya jiji la Arusha, inayohusika na kutengeneza madawati hayo kwa shule za jiji la Arusha.
Tumeinasa sauti ya Afisa elimu wa jiji la Arusha Mwalimu Valentin Ambrosi Makuka, akizungumza unafuu uliopatikana mpaka sasa baada ya halmashauri hiyo kuamua kutengeneza vifaa vyote vya shule za halmashauri ya jiji la Arusha yenyewe.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu