Kiongozi wa vijana wa Zanu PF akamatwa Zimbabwe.

In Kimataifa

Kudzai Chipanga, kiongozi wa vijana katika chama cha Zanu-PF, amekamatwa mjini Harare, siku moja baada ya kusema kuwa wafuasi wake walikuwa tayari kufa wakimpigania Rais Robert Mugabe.

Kitengi hicho cha vijana kinamuunga mkono mke wa Mugabe Grace kama mrithi Mugabe.

Bw. Chipanga alimpinga hadhararani Jenerali Constantino Chiwenga , baada ya mkuu huyo wa Majeshi kusema Jumatatu kuwa alikuwa amejiandaa kuchukua hatua kumaliza hisia za kutengwa katika chama cha Zanu PF.

Kisha kiongozi huyo wa vijana akajibu jana na kusema kuwa Jenerali Chiwenga hakuwa na uungwaji mkono wa jeshi lote.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu