Misri klabu 11 zimekubali mpango wa kufutwa kwa
msimu wa ligi kuu nchini humo bila kushuka daraja kwa
timu zilizo katika hatari ya kushuka daraja na Bingwa
apewe Al Ahly SC
Klabu za Al Ahly na Al Mokawloon Al Arab zinazoshika
nafasi ya kwanza na ya pili kushiriki Klabu Bingwa
Afrika msimu ujao.
Huku vilabu vilivyo shika Nafasi ya tatu na nne Vilabu
vya Pyramids FC na Zamalek SC kushiriki Kombe la
Shirikisho Afrika Msimu Ujao.
Hata hivyo klabu Sita Hazijakubali kufutwa kwa msimu
bila Kushuka Daraja na Bingwa Kupewa Ahly SC