Mchezaji mkongwe wa mpira wa kikapu, Kobe Bryant (41) amefariki dunia, Muda mfupi uliopita mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mkongwe huyo amefariki kwenye ajali ya Helcopter pamoja na watu wengine watatu waliokuwepo kwenye helcopter hiyo binafsi