Kocha wa Yanga kuanza kutumikia adhabu

In Michezo

Kocha Mkuu wa Young Africans, Mwinyi Zahera kesho Alhamis ataanza kutumikia adhabu yake ya kutokukaa benchi akitumikia adhabu yake na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kushindwa kufuata sheria za mavazi kwa benchi la ufundi.

Young Africans inashuka uwanjani kesho kumenyana na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara ukiwa ni mchezo wake wa pili baada ya kuanza na Ruvu Shooting na kupoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema hii leo makao makuu ya klabu Dar es Salaam, Afisa Habari wa klabu hiyo, Hassan Bumbuli alisema kocha atashuhudia mchezo huo akiwa jukwaani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TUME YA MADINI KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI

Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akielezea fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini Tanzania katika

Read More...

Halmashauri ya Jiji la Arusha kutokomeza mimba za utotoni.

Halmashauri ya Jiji la Arusha ikishirikiana na wataalamu wa Afya kutoka mashirika mbalimbali, maafisa  elimu kata na sekondari,

Read More...

MNADA WA ALMASI WDL WAZIDI KUPAMBA MOTO.

Leo tarehe 20 Februari, 2020 mnada wa asilimia tano ya madini ya almasi kutoka katika Mgodi wa Williamson Diamond

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu