Lopez Obrador ashinda uchaguzi Mexico.

In Kimataifa

Andres Manuel Lopez Obrador ameshinda uchaguzi wa rais katika ushindi wa kishindo jana Jumapili nchini Mexico na kuiingiza madarakani serikali ya siasa za mrengo wa kushoto zaidi katika historia ya kidemokrasia ya nchi hiyo katika wakati ambapo uhusiano na utawala wa rais Donald Trump wa Marekani ni wa wasiwasi. Meya huyo wa zamani wa mji wa Mexico City mwenye umri wa miaka 64 alishinda kwa tofauti kubwa katika uchaguzi wa rais tangu miaka ya 1980, kwa mujibu wa matokeo rasmi ya haraka ambayo yameonesha akichukua zaidi ya nusu ya kura, ikiwa ni karibu alama 30 mbele ya mpizani wake wa karibu. Serikali yake inaweza kuanzisha uchunguzi mkubwa wa vitegauchumi kutoka nje pamoja na mtazamo ambao si mzuri kwa Marekani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hamas yatangaza kusitisha mapigano.

Chama cha Wapalestina cha Hamas kinachotawala Ukanda wa Gaza kimetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusitisha mapigano, baada ya

Read More...

Upinzani Congo wagawanyika

Wafuasi wa chama cha UDPS nchini Kongo wamesifu hatua ya kiongozi wao Felix Tshisekedi kujiondoa kwenye mkataba wa viongozi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu