Lowassa awapa MORALI Taifa Stars.

In Michezo
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa amewataka wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kucheza kama morani wa kimasai katika mechi yao ya  leo Jumanne October 16  dhidi ya Cape Verd uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Katika Taarifa yake kwa vyombo vya habari Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa kamati Kuu ya CHADEMA, amewataka wachezaji hao wa Stars kucharuka na kutokuwa legelege uwanjani ili kulipambania Taifa lao.
 
“Kule kwetu masaini tuna vijana shupavu wanaitwa Morani..morani wale wanaua Simba na ni wakali kweli kweli sasa hawa wachezaji wetu wageuke kuwa Morani pale uwanjani..kipigo walichokipata kule kwao(Cape Verde) iwe kama Simba amevamia zizi letu la ng’ombe..wamtoe na kumuua hapana kuwa legelege” Amesema  Lowassa.
Aidha Lowassa amelitaka shirikisho la soka nchini TFF kuweka kiingilio cha chini;
 “Nasikia wameweka kiingilio cha shilingi 2000 kule kwa kawaida..mimi ningependa iwe 1000 ili watu waujaze uwanja ule kuwapa moyo Morani wetu”

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu