Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi Mh William Lukuvi, amewaomba radhi watanzania kwa kusema yeye hawezi kutafsiri wala kukataa maamuzi ya Mahakama.
Mheshimiwa Lukuvi amewaomba watanzania kama yuko yeyote aliewasilisha shauri lake kwa Mahakama amaliziehukohuko, na kama Mahakama kuu ikishidwa basi waende Mahakama ya Rufaa, na sio kwenda kwa viongozi husika wenye dhamana.