Mabenki yajihadhari na Corona.

In Kitaifa


Tunafahamu ya kwamba Serikali inapambana na virusi vya
Corona na hata kila mmoja wetu kwa nafasi yake inapambana
dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo hatari ambapo idadi hapa
nchi inazidi kupanda wengi wetu tuinajiuliza ikiwa sehemu zote
zimeshachukua tahadhari vipi kwenye mabenki yatoayo huduma
za kifedha wao wamejipangaje katika kuhakikisha wanalinda
wafanyakazi na wananchi (wateja) wanaohitaji huduma za
kifedha bila kupata maambukizi hayo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki
Ndugu Abdulmajid Nsekela ambapo ameeelezea juu ya utayari
wao wa kuendelea kutoa huduma za kibenki kipindi hiki cha
virusi vya Corona.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu