Maddona ashindwa kesi,Barua ya kutemwa na Tupac kuuzwa mwezi julai.

In Burudani, Kimataifa


Staa wa miondoko ya Pop, Madonna ameshindwa kesi ya ‘haki ya kulinda kutotolewa kwenye jamii kwa mambo yake binafsi’ hivyo barua ya ‘sababu ya kutemwa’ aliyoandikiwa na hayati Tupac Shakur ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kipindi kisichofahamika, inatarajiwa kuuzwa kwa mnada ifikapo mwezi Julai.
Barua hiyo inadaiwa kuandikwa Januari 15, 1995, miezi 18 kabla ya kifo cha rapa huyo, inatarajiwa kuuzwa kwa kianzio cha $100,000 (TZS 222m).

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MO apatikana, atelekezwa na watekaji.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Bilionea/Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’  aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu