Magix Enga akubali yaishe, UNO yaachiwa.

In Burudani

Mtayarishaji wa Muziki nchini Kenya, Magix Enga aliyepeleka video ya wimbo wa Harmonize UNO kuwekwa private Youtube amekubali kuyajenga.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Magix Enga amefunguka kuwa UNO inapatikana Youtube

“EVERBODY SAY UNO Now available on Youtube both audio and Video”.Alisema.

Wimbo wa Harmonize kutokea 255 uliwekwa private kwenye account yake ya youtube baada ya malalamiko kutoka kwa mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Kenya Magix Enga akilalamika kuwa wimbo huo ulikopy beat ya wimbo wa Msanii Kutoka Kenya King Kaka unaoitwa DUNDAING.

Magix Enga kupitia Account zake za Kijamii alimpa Harmonize wiki moja awasiliane nae na kutokana maelezo ya Harmonize hakufanya hivyo kwaiyo aliamua kuuweka private  wimbo huo kwenye mtandao wa Youtube na kwa mara ya kwanza  video ya UNO ilianzakuwekwa private na baadae alitoa siku mbili kwa Harmonize kuwasiliana nae na baadae audio ya UNO ikawekwa pia.

Kitoka na Mahojiano aloyoyafanya na Mseto Magix Enga alisema kuwa anachotaka yeye sio pesa ni heshima.

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika

“EVERBODY SAY UNO Now available on Youtube both audio and Video”.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

RC Makonda amkaribisha DC Gondwe

Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda leo July 9 amezungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Mh Godwin Gondwe pamoja

Read More...

Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo. Kwa uzuri Mtaa wa Mastory

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu