Magufuli ampandisha cheo Brigedia Jenerali Charles Mbuge.

In Kitaifa
Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Akiba.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo  wakati akizungumza na waandishi wa habari jana Jumanne Septemba 10, 2019 jijini Dar es Salaam .
Awali Aprili13, Rais Magufuli alimpandisha cheo Brigedia Jenerali Mbuge kutoka kuwa Luteni Kanali na kuwa Brigedia Jenerali.
Dk. Magufuli alimpandisha cheo hicho Brigedia Jenerali Mbuge baada ya kufurahishwa na utendaji wake wa kazi katika kusimamia ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali ikiwamo ujenzi wa ukuta wa Mirerani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Afariki Dunia baada ya kufukiwa na kifusi 

Mtu mmoja amefariki Dunia na wengine Wanane wameokolewa, baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu ya Shilalo

Read More...

STAA WA FILAMU THE ROCK AMTUMIA BURNA BOY KUTOKA AFRICA.

Staa anayelipwa pesa nyingi kwa mwaka 2018/2019 kwa mujibu wa Jarida la Forbes Dwayne Johnson @therock ametumia wimbo wa

Read More...

Ujerumani yatoa Bil. 32.7 Kusaidia Afya Ya Mama Na Mtoto.

Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu