Mahakama Kuu yaanza kusikiliza shauri la Tundu lissu.

In Kitaifa

Kesi ya aliyekua mbunge wa Singida Mashariki na mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ndugu Tundu Lissu, imetajwa leo katika Mahakama Kuu nchini Tanzania.

Kesi hiyo ni ya kupinga uamuzi wa kuvuliwa kwake ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vya bunge kwa karibu miaka miwili.

Lissu amefungua kesi mahakamani chini ya hati ya dharura, kupitia kwa kaka yake Alute Mughwai ambaye amempa mamlaka kisheria kufanya hivyo

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk.Vincent Mashinji, amezungumzia mwenendo wa maombi ya kesi hiyo, ambayo imehairishwa mpaka tarehe 23 mwezi August 2019.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu