Mamlaka nchini Brazil imezuia utoaji wa hati za kusafiria (pasipoti).

In Kimataifa

Mamlaka nchini Brazil imezuia utoaji wa hati za kusafiria (pasipoti) kutokana na mgogoro wa bajeti.

Kitengo cha polisi wa uhamiaji nchini humo ambao hushughulikia utoaji wa pasipoti ndani ya siku sita za kufanya kazi, kimesema kwa sasa hakipokei maombi mapya.

Mmoja wa wanasisasa nchini Brazil amezilaumu sera za Rais Temer kwa kusababisha mgogoro wa kiuchumi.

Serikali imesema itajaribu kushughulikia suala hilo mapema iwezekanavyo.

Brazil inakumbana na mgogoro mkubwa wa kiuchumi na ukosefu wa hati za kusafiria waweza kuwa kikwazo wakati huu wa baridi ambapo raia wengi wa Brazil husafiri nje ya nchi.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu