Man U, Juventus wafungishwa virago UEFA

In Michezo

Timu ya Manchester United imeondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali baada ya kukubali kipigo Cha mabao 3_0 kutoka kwa Barcelona
Mabao ya Lionel Messi na Philip coutinho yameifanya Barcelona kusonga mbele kwa hatua inayofuata kwa maana ya nusu fainali kwa jumla ya mabao 4-0 baada ya mchezo wa awali uliochezwa old Trafford Barcelona kuibuka kwa bao1-0
Nayo timu ya Juventus imeondoshwa kwenye michuano hyo kwa jumla ya mabao 3- 2 dhidi ya Ajax Amsterdam ya uholanzi

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu