MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

In Michezo

.
.
Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni Danilo, ni kama sehemu la dili la kumpata beki wa pembeni wa klabu ya Juventus, Cancelo.
.
.
Mkurugenzi wa klabu ya Juventus, Fabio Paratici, anatarajia kusafairi mpaka jijini Manchester, kwenda kuzungumzia swala la uhamisho huo.
.
.
Pep Guardiola, anamini kuwa beki wake wa Pembeni Kyle Walker, anatimiza miaka 29 na kuanza kumtafuta mbadala wake mapema ambaye ni Cancelo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu