Mangula atoa msimamo wa CCM na diplomasia ya kimataifa

In Siasa

 

Leo Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Philip Japhet Mangula amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini DSM juu ya tamko la Chama cha Mapinduzi CCM na diplomasia ya kimaitaifa huku tamko hilo likionekana dhahiri kuisaidia Nchi ya Zimbabwe kiuchumi.

Ndugu Mangula amesema Nchi ya Zimbabwe sasa inabidi ipige hatua za kimaendeleo na kuwataka wanaowawekea nchi hiyo vikwazo kuacha mara moja.

#Radio5Update
#Theonlychoice

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mourinho kusuka kikosi chake.

Kocha mpya wa Tottenham Jose Mourinho atajaribu kumsajili tena mshambuliaji wa zamani wa Spurs Gareth Bale, 30, kutoka Real

Read More...

UNO ya Harmonize yawekwa private, Wasimamizi wa kazi zake waeleza.

Akizungumzia suala la kuripoti YouTube wimbo wa UNO, Magix amesema kuwa alimpa wiki moja Harmonize kumuomba msamaha kwa kutumia

Read More...

Bastola yadondoka na kuuwa mahakamani

Tukio la kusahangaza linalo Treand kwa sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali Afrika Kusini Addelaid Ferreira

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu