Mapigano kati ya vikosi vya Uganda na DRC katika ziwa Edward.

In Kimataifa

Watu 7 wamefariki wakiwemo wanajeshi 4 wa Uganda katika mapigano kwenye ziwa Edward kati ya vikosi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Uganda, kwa mujibu wa afisa wa Congo aliyenukuliwa na shirika la habari la AFP.

Ziwa Edward lipo katika mpaka kati ya nchi hizo mbili.

Kiongozi kutoka Beni, Donat Kibwana, amenukuliwa na AFP akisema kuwa mashua ya kupiga doria ya Congo ilishambuliwa Alhamisi asubuhi na boti la kupiga ‘doria la Uganda’.

Boti la Uganda lilizama na wanajeshi wanne wa taifa hilo na raia watatu walifariki, aliongeza.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hamas yatangaza kusitisha mapigano.

Chama cha Wapalestina cha Hamas kinachotawala Ukanda wa Gaza kimetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusitisha mapigano, baada ya

Read More...

Upinzani Congo wagawanyika

Wafuasi wa chama cha UDPS nchini Kongo wamesifu hatua ya kiongozi wao Felix Tshisekedi kujiondoa kwenye mkataba wa viongozi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu