Marufuku ndugu kuwatembelea mahabusu.

In Kitaifa


Tahadhari ambazo zinazidi kuchukuliwa sehemu mbalimbali
hapa nchini dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona ni kwamba
Jeshi la magereza hapa nchini limesitisha huduma zote za
kutembelea wafungwa na mahabusu kwenye magereza yote
nchini.
Ambapo marufuku hiyo inahusisha kuzuiwa kwa ndugu


kupeleka chakula na mahitaji mbalimbali ambapo magereza
imesisitiza kuzidi kuchukua tahadhari zaidi kukabiliana na tishio
la virusi vya Corona.


Msemaji wa Jeshi la Magereza Mrakibu
Mwandamizi Amina Kavirondo akisema huduma zote muhimu
kwa wafungwa na mahabusu zitatolewa kwa gharama za
Serikali.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu