Mashine za Magoli

In Michezo

MAJINA ya wachezaji watatu mafundi wa kupachika mabao Ligi Kuu England yameleta hisia ya furaha kwa nyota hao ambao wameshinda viatu cha dhahabu kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu England na kudhihirisha kwamba ni mashine za magoli.

Washambuliaji watatu ambapo wawili wa Liverpool ambao ni Mohamed Salah anayetokea Misri na Sadio Mane mchezaji wa timu ya Taifa ya Senegal pamoja na Pierre Aubameyang anayekipiga timu ya Taifa ya Gabon.

Wote watatu wameshinda vita ya ufungaji bora msimu huu baada ya kufunga jumla ya mabao 22 kwenye Ligi hiyo ambayo jana ilihitimisha mbio zake na bingwa kuwa ni Manchester City.
Kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Burney ambapo Abemayang alitupia mawili ilimfanya amfikie Salah pamoja na Sadio Mane ambaye naye alifunga mabao 2 kenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolves

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu