Mategemeo ya TUCTA kwa rais samia kuelekea mei mosi.

In Kitaifa

Kuelekea sikukuu ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2021 rais
washirikisho la vyama cha wafanyakazi Tanzania TUCTA
Tumaini Nyamhokya amesema miongoni mwa mambo
wanayoyatarajia katika serikali ya awamu ya sita inayoongozwa
na Rais Samia Suluhu Hassan ni nyongeza ya mishahara.


Nyamhokya ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Tabora alipofika
kukagua ujenzi wa ofisi ya chama cha wafanyakazi wa serikali
za mitaa TALGWU mkoa zinazojengwa kupitia makusanyo
kutoka kwa wanachama.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu