Matokeo ya droo ya robo na nusu fainali kombe la Shirikisho (ASFC) yatajwa.

In Kitaifa, Michezo

Droo ya robo na nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), imefanyika hii leo.

Zifuatazo ni timu zitakazo cheza hatua ya robo fainali na nusu fainali ya FA.

Robo Fainali
Singida United vs Yanga SC,
Tanzania Prisons vs JKT Ruvu,
Azam FC vs Mtibwa Sugar,
Stand United vs Njombe Mji.

Nusu Fainali
Stand United/Njombe Mji vs Azam FC/Mtibwa Sugar,
Singida United/Yanga SC vs Tanzania Prisons vs JKT Ruvu

Kwa mujibu wa ratiba ambayo tayari imepangwa na TFF, mechi za robo fainali zimepangwa katika wiki ya mwisho ya mwezi Machi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Roma aomba kupunguziwa adhabu.

Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka kwa mara ya kwanza ikiwa ni mwezi mmoja toka afungiwe

Read More...

Omarion adata na lugha ya Kiswahili.

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Omarion ambaye ameshirikishwa na Diamond kwenye wimbo wa ‘African beauty’ ambao unapatikana kwenye albamu

Read More...

Rais wa Myanmar, Htin Kyaw ajiuzulu.

Rais wa nchi ya Myanmar ambayo inapatikana katika bara la Asa, Htin Kyaw amejiuzulu. Rais Htin Kyaw Kwa mujibu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu