Mazishi ya Mama yake Mrisho Gambo kufanyika alhamisi.

In Kitaifa
Mwili wa Mama wa Mkuu wa mkoa Arusha, Mrisho Gambo unatarajiwa kuzikwa Uru mkoani Kilimanjaro baada ya mwili wake kurejeshwa nchini.
Katibu Tawala Mkoa Arusha, Richard Kwitega alisema hayo wakati akizungumza katika dua maalum leo, Aprili 14, iliyofanyika nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Kwitega amesema, mwili wa  marehemu Rehema Momburi, unatarajiwa kuwasili Jumanne kutoka nchini India.
Kwa mujibu wa ratiba, mazishi yatafanyika Alhamisi  ya wiki ijayo.
Viongozi mbalimbali wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa, umoja wafanyabiashara, wakurugenzi, mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema na viongozi wengine kadhaa walihudhuria.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Familia Ya Mo Dewji Yatangaza mkwanja wa Bilioni 1 (1,000,000,000) kumpata Mo.

Familia ya Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya TSH. BILIONI MOJA (1,000,000,000)  kwa yeyote atakaetoa taarifa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu