MBARONI KWA TUHUMA ZA KUGAWA ‘SARE ZA JESHI’

In Kitaifa

VYOMBO vya ulinzi na usalama mkoani Kigoma vimemtia mbaroni kiongozi wa Shirika la Danish Refugees Services linalotoa usaidizi wa huduma za kibinadamu kwa
wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa kwenye kambi za Nduta wilayani Kibondo na Mtendeli wilayani Kakonko.
kiongozi huyo anatuhumiwa kuhusika na uingizwaji na ugawaji wa nguo zinazofanana na sare za jeshi ndani ya kambi hizo za wakimbizi.
kuu wa Wilaya ya Kigoma, Samson Anga akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Emmanuel Maganga wakati wa uchomaji wa
guo uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Kawawa mjini Kigoma, ambapo alisema kuwa kiongozi huyo anashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa
chunguzi zaidi.
ila kumtaja jina kiongozi huyo, Anga amesema kukamatwa kwake kunatokana na Mkuu wa Makazi katika kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilaya Kibondo kutilia shaka
Uwepo wa nguo hizo na mgawanyo wake.
Ndipo baada ya kufuatilia kwa kina akagundua kuwa nguo hizo zinafanana na sare za jeshi hivyo kuarifu kamati za ulinzi na usalama na nguo hizo kukamatwa kabla
azijaanza kugawanywa.
“Katika hatua ya awali tunamshikilia kiongozi wa Taasisi ya Danish Refugees Services ambaye kwa namna moja au nyingine anahusika na uingizwaji wa nguo 1,947
wenye hizo kambi za wakimbizi na uchunguzi zaidi unaendelea, taarifa itatolewa baadaye kuhusiana na yale yanayoendelea kwenye suala hilo,” alisema.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TCRA yatoa leseni 224 za watoa huduma za maudhui mtandaoni…93 ni za Blogs, 97 ni za Online Tv.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema leseni 224 zimetolewa kwa watoa huduma

Read More...

Muungano wa Afrika umeiomba DR Congo uahirishe kutangaza matokeo kamili ya uchaguzi mkuu

Muungano wa Afrika (AU) umeitaka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo iahirishe kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu. Muungano huo unaonuia

Read More...

Bunge kupiga kura tena 29 mwezi januari.

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ataitisha kura nyingine Januari 29 kuhusu makubaliano ya Uingereza kujitoa kutoka Umoja wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu