Mchungaji mmoja nchini Kenya amemuua mke wake kwa kutumia kisu na kisha nae kujiua.

In Kimataifa

Mchungaji mmoja nchini Kenya amemuua mke wake kwa kutumia kisu na kisha nae kujiua.

Tukio hili la kusikitisha limetokea leo Jumapili wakati ibada ya Jumapili ikiendelea katika Kanisa la Glound for Gods Gospel (3G) Ministries lililopo kaunti ya Kisauni nchini Kenya.

Imeelezwa kuwa mchungaji Elisha Misiko alimshambulia kwa kisu mkewe aliyekuwa amekaa naye jirani kisha na yeye kujiua kwa kisu hicho hicho.

Habari za awali zinasema kuwa, chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa ndoa huku mchungaji akiacha ujumbe wenye kurasa 17 unaoelezea mgogoro wao.

Polisi katika kaunti ya Kisauni wamekataa kueleza kilichoandikikwa na Mchungaji huyo kwa maelezo kuwa uchunguzi bado unaendelea.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

RC Makonda amkaribisha DC Gondwe

Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda leo July 9 amezungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Mh Godwin Gondwe pamoja

Read More...

Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo. Kwa uzuri Mtaa wa Mastory

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu