Mke wa Justin beibe kumfungulia kesi daktari wa plastic surger

In Burudani, Kimataifa

Mke wa Justin beiber, Hailey beiber, amesema anadhamiria
kumfungulia kesi daktari wa plastic surgery, ambae anadai kuwa amemtengeneza uso.
So siku kadhaa katika mtandao wa twitter mwana dada huyu, alijkuta akishambuliwa na
watu kwamba uzuri wake ni wa kutengeneza na kwamba alienda kwa daktari ili aweze
kumtengeneza sehemu za uso wake ambapo aliyakanusha madai haya,


Lakini daktari mmoj alikuja na kudai kwamba ni kweli amewahi kumfanyia upasuaji wa
kutengeneza uso, na hailey hajafurahishwa na hili kabisa, hivyo amesema anadhamiria
kufungua kesi ya ku sue, yaani kudai fidia, kwani huyu anamharibia brand yake na pia
anataka kutumia jina lake kujipatia wateja,

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu