Mkurugenzi Mkuu mwakilishi wa (UNDP) kuondolewa Nchini.

In Kitaifa

Serikali ya Tanzania imeliagiza shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo (UNDP) kumuondoa mkurugenzi mkuu mwakilishi wa shirika hilo Tanzania kumuondoa kutoka nchini humo.

Tanzania imesema Bi Awa Dabo hajakuwa na maelewano mazuri na baadhi ya watumishi wenzake pamoja na wasimamizi wa shirika hilo.

Taarifa kutoka wizara ya mambo ya nje ya  imesema hilo limechangia kuzorotesha utendaji wa shirika hilo hapa nchini,na kupunguza kasi ya kuleta maendeleo kwa Watanzania endapo hatua za haraka hazingechukuliwa.

Serikali ya Tanzania kupitia wizara hiyo imetoa wito kwa UNDP kuwakumbusha watumishi wake kuwa, “kipaumbele chao ni kufanya kazi na Serikali ili kufikia maendeleo yaliyoainishwa kwenye Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano na Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo yamefafanuliwa katika Agenda ya mwaka 2030

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu