Mkuu wa Majeshi Mstaafu aanzisha kundi la Waasi Sudan Kusini.

In Kimataifa

Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Paul Malong ameanzisha vugu vugu jipya la kundi la waasi.

Hatua hii imekuja kipindi ambacho nchi hiyo imeanza kufanya mazungumzo mapya ya amani jijini Addis Ababa Ethiopia yanayolenga kufikia makubaliano ya kuachiliwa kwa Makamu wa Rais Riek Machar.

Machar amewekwa kizuizini nchini Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa Malong kundi lake hilo la waasi litakuwa na kazi ya kurejesha demokrasia na maendeleo ambayo yamepotea nchini humo.

Malong anadai kuwa serikali ya sasa imekuwa makosa mengi ya rushwa na kuifilisi nchi hivyo anataka kubadili nchi hiyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Museveni akanusha kupigwa vibaya Bobi Wine.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu

Read More...

Dada yake Rais Magufuli aaga dunia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu