Mkwanja wawekwa mezani na gsm kisa wanaijeria.

In Kitaifa, Michezo

Katika kuhakikisha Yanga wanafanya vyema katika
michuano ya kimataifa, uongozi wa timu hiyo kwa
kushirikiana na wadhamini wao Kampuni ya GSM umeanza
mipango mapema kwa kuweka mzigo wa maana ambao
utaongeza hamasa ya ushindi kuelekea katika mchezo wao dhidi
ya Rivers United ya nchini Nigeria.


Yanga Septemba 12, watakuwa na kibarua kizito cha
kumenyana na Rivers United katika mchezo wa hatua ya

kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika katika
Uwanja wa Mkapa Dar.


 Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimeeleza kuwa uongozi huo
umeweka wazi mpango wa kuweka fedha za kutosha kwa ajili
ya kuhamasisha ushindi kwa wachezaji kuelekea katika mchezo
wao dhidi ya Rivers, jambo ambalo wanaamini litaongeza
chachu ya ushindi kama ambavyo wamekuwa wakifanya katika
michezo mingine mikubwa ya timu hiyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu