Mourinho alia na VAR kisa kiwiko cha Pogba

In Michezo

Kocha Mkuu wa Tottenham, Jose Mourinho anaamini kwamba
kiungo wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba alistahili
kuonyeshwa kadi nyekundu na mwamuzi kutokana na
kuonekana akimpiga kiwiko mchezaji wake Serge Aurier.


Mchezo huo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa
Tottenham Hotspur, ubao ulisoma Tottenham 1-3 Manchester
United. Pointi tatu hizo zinaifanya United kufikisha pointi 63
ikiwa nafasi ya pili na Tottenham pointi zake ni 49 nafasi ya 7.
Bao pakee la Tottenham lilipachikwa kimiani na Son Heung-
min dakika ya 40 huku yale ya Manchester United yakifungwa

na Fred dakika 57, Edinson Cavan dakika ya 79 na msumari wa
mwisho ulipachikwa na Mason Greenwood dakika ya 90+6.
Mourinho amesema kuwa kwa kitendo ambacho alikifanya
Pogba VAR ilimlinda jambo ambalo liliwafanya wasiwe na
bahati kwenye mchezo huo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake 5 wafikishwa mahakamani kwa makosa matano ikiwemo

Read More...

George Mkuchika Aaapishwa kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum.

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Kampeni Mstaafu George Mkuchika kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Ikulu, Kazi Maalum. Kabla ya

Read More...

Waziri wa Uganda ajeruhiwa na mwanae kufa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

Watu wenye silaha wamemshambulia na kumjeruhi Waziri na Kamanda wa zamani wa jeshi la Uganda, na kumuua binti yake

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu