Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

In Kitaifa

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Arumeru akikabiliwa na shtaka la mauaji ya kukusudia.

Mtuhumiwa huyo aliyevuta hisia za wakazi wengi wa Jiji la Arusha waliokuwa mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo,alifikishwa mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali wa Askari Magereza huku akiwa ameficha uso muda wote kwa kujifunika gubigubi na mtandio.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi April 8 mwaka huu kwa sababu ya upelelezi kutokamilika.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

Serikali yaondoa tozo kwa wawekezaji wa ndani.

Serikali kupitia wa naibu waziri wake wa mali asili na utalii ndugu Constantine Kanyasu,imesema kuwa imeondoa tozo ya

Read More...

NEC yakutana na vyama vya siasa.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa nchini NEC Jaji Kaijage ametangaza awamu ya pili ya uboreshaji

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu