Mshukiwa wa mauaji ya Nipsey Hussle ashtakiwa.

In Burudani, Kimataifa

Zikiwa zimepita siku 5 tangu mauaji mabaya ya Rapa Nipsey Hussle yatokee mtuhumiwa amekamatwa na kushtakiwa kwa kosa la mauaji, Eric Holder 29 anashtakiwa kwa kuhisiwa kufanya mauaji.

Hussle alipigwa risasi Jumapili Machi 31, mbele ya duka lake la nguo, Marathon Clothing, Inaripotiwa Kulingana na mamlaka ya Los Angeles taarifa zinasema kwamba Holder alimpiga risasi Hussle na watu wengine wawili.

Majeraha ya risasi ya Hussle yalikuwa kwenye kichwa chake na maungio ya shingo na kifua. Holder aliondoka kwenye eneo la tukio lakini alikamatwa siku ya Jumanne alasiri Aprili 2, 2019

Holder kwa sasa yupo chini ya ulinzi wa Polisi kwa dhamana ya Dola 5millioni.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu