Msimamizi wa uchaguzi agoma kutoa fomu kwa mgombea..

In Kitaifa


Mkurugenzi wa uchaguzi katika manispaa ya ubungo Beatrice
Domonic, amegoma kutoa fomu kwa mgombea ubunge wa
Chadema, akieleza kuwa tayari chama hicho kilishachukua fomu
hiyo kupitia kwa mgombea mwingine aliyetambulika kwa jina la
Athumani Abdala Sudi wa kibamba.


Songombingo hilo limejitokeza mara baada ya chadema kufika
katika ofisi za Mkurugenzi huyo, wakitaka kuchukua fomu na
Mgombea wao, na ndipo walipopewa taarifa kuwa tayari yupo
Mgombea wa chama hicho ambaye ameshachukua fomu na kwa
utaratibu wa tume fomu hazitolewi mara mbili kwa chama kimoja.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu