Mtaalamu mmoja wa uwindaji ameuwawa baada ya kulaliwa na ndovu ambaye alikuwa amepigwa risasi

In Kimataifa

Mtaalamu mmoja wa uwindaji ameuwawa baada ya kulaliwa na ndovu ambaye alikuwa amepigwa risasi

anaripotiwa kupigwa risasi wakati alimuinua Theunis Botha akitumia pembe yake kabla ya kuanguka na kufariki huku akimlalia na kumuaa bwana Botha.

Amekuwa akiongoza kundi la wawindaji karibu na mbuga ya Hwange nchini Zimbabwe wakati alifariki.

Mbuga hiyi ndiko simba Cecil aliuwawa na muwindaji mmarekani mwezi Julai mwaka 2015 na kuzua shutuma kote duniani. Bwana Botha ana umri wa miaka 51 na baba wa watoto watano kutoka mkoa wa Limpopo nchini Afrika Kusini.

Mtandao wa Botha unasema kuwa alikuwa na ujuzi wa kuwinda Simba na Chui.

Vyombo vya habari nchini Afrika Kusini vilisema kuwa bwana Botha alikuwa rafiki wa muwindaji mwingine Van Zyl, ambaye mabaki yake yalipatikana ndani ya mamba mwezi uliopita.

 

 

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu