Mtandao usiodukuliwa kuzinduliwa China.

In Kimataifa
Wakati udukuzi wa mitandao wanapoendesha udukuzi zaidi, China inatarajiwa kuzindua mtandao usiodukuliwa ikimaanisha kuwa itakuwa rahis kugundua kabla ya wadukuzi kuingia.
Mradi huo wa kichina katika mji wa Jinan na unautumia teknolji inayofahamika kama Qua ntum, unatajwa kuwa hatua kubwa na vyombo vya habari vya nchi nhiyo.
Mradi huo pia ni ishara tosha kuwa China inachukua wajibu mkubwa katika masuala ya teknolojia ambayo kwa miaka mingi yametawaliwa na nchi za magharibi.
Kupitia mtandao huo wa Jinan, watumiaji 200 kutoka jeshi, serikali, sekta ya fedha na kawi wataweza kutuma ujumbe kwa njia salama.
Hatua hii inamaana kuwa China inachukua hatua kubwa kuhakikisha kuwa mitandao imekuwa salama. Sasa hunda nchi zingine zikanunua teknolojia hii kutoka China.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu