Mtoto mwenye umri wa miaka miwili ajipiga risasi

In Kimataifa

Mtoto mwenye umri wa miaka miwili, Christopher Williams Jr amefariki nyumbani kwao baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake.

Polisi katika eneo hilo wanasema bunduki hiyo ambayo hutumia risasi za ukubwa wa 9mm wameikuta eneo la tukio na kuwa ilikuwa inamilikiwa na baba yake.

Bado polisi hawajabaini iwapo wazazi wake walikuwa nyumbani muda wa tukio hilo watashtakiwa au la, pia  Polisi wamesema wanajaribu kubaini ni vipi mtoto huyo aliweza kuifikia bunduki hiyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hamas yatangaza kusitisha mapigano.

Chama cha Wapalestina cha Hamas kinachotawala Ukanda wa Gaza kimetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusitisha mapigano, baada ya

Read More...

Upinzani Congo wagawanyika

Wafuasi wa chama cha UDPS nchini Kongo wamesifu hatua ya kiongozi wao Felix Tshisekedi kujiondoa kwenye mkataba wa viongozi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu