Mtoto wa Dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara anayefahamika kwa jina la Kasobi Shida mwenye umri wa miaka 26, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Musoma baada ya kupata ajali wakati akiendesha gari ya Mkuu wa Mkoa,Adam Malima amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jumanne Agosti 6 2019, RPC wa Mara Juma Ndaki amethibitisha.