Mufti Mkuu apiga stop mikutano ya Waislam kisa Corona.

In Kitaifa


Mufti mkuu wa Tanzania, Aboubakary Bin Zubeir, leo Machi
18, amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na
mlipuko wa ugonjwa wa Corona, ambao mpaka sasa wagonjwa
wamefikia watatu.

Ameyasema hayo kutoka jijini Dar Es Salaam mapema leo kwa
lengo la kuzuia mikutano inayokusanya waumini wa dini ya
Kislam hapa nchini kwa lengo la kuzuia maambukizi ya virusi
vya Corona.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu