Mufti Mkuu wa Tanzania aomba kutokomea kwa Corona.

In Kitaifa


Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubery Bin Ally
amewaomba watanzania kuungana kwa pamoja kumuomba
mwenyezi Mungu ili virusi vya ugonjwa wa Corona visiendelee
zaidi na kuzua hofu ya kushindwa kufanya Ibada katika mji
mtakatifu wa Maka na Madina nchini Saudi Arabia.
Antenna imenasa Mufti Abubakary Zubery akisema hayo
mapema leo ofisini kwake jijini Dar Es Salaam.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu