Muumini achoma makanisa 3 kisa hafanikiwi.

In Kimataifa


Polisi nchini Uganda wamemkamata kijana mwenye miaka 21
kwa madai ya kuchoma makanisa matatu katika Wilaya ya
Wakiso.


Wakati wa mahojiano mshukiwa alikiri kutekeleza uhalifu na
kifichua kwamba, alichoma makanisa hayo kwa sababu
makanisa hayo yalikuwa yakieneza injili ya mafanikio lakini
alisalia maskini.


Miongoni mwa mali iliyoharibiwa na moto huo ni pamoja na
nguo za pasta, vitabu vya kanisa, divai na viti.
Taarifa yake ilichukuliwa na anazuiliwa katika Stesheni ya
Polisi ya Kira ili kusaidia polisi katika uchunguzi,na atafanyiwa
uchunguzi wa akili kabla ya kufikishwa kortini.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu