Mwakyembe ampokea Miss World Arusha.

In Burudani

Waziri wa utamaduni sanaa na michezo  Harson Mwakembe leo amempokea miss Word katika shule ya sekondary Moshono iliyopo kata ya Moshono Jijini Arusha

Akizungumza na vyombo vya habari waziri Mwakembe amesema kuwa, ujio wa mrembo huyo ni mojawapo ya fursa ya kutangaza sekta ya utalii hapa nchini na kujitangaza duniani kwenye mataifa mbalimbali
Mkurugenzi wa uendeshaji wa mashindano ya miss Tanzania Basila Mwanukuzi ambaye alikuwa miss Tanzania mwaka 1998 amesema kuwa wameandaa technolog ya kuandaa taulo za kike kwa kushirikiana na miss Dunia na Miss Tanzania katika baadhi ya shule hapa nchini kwani hii inasaidia kuwafanya waweze kuendelea na masomo yao bila kubugudhiwa
Nao baadhi ya wadau walioshiriki katika zoezi la ugawaji wa taulo za kike akiwemo mwenyekiti wa kampuni ya Uhuru Pad Sarah Gunda wamesema wameshukuru kwa ushirikiano walioupata ambapo wameahidi kuendelea na project ya kutoa elimu kwa watoto wa kike na ugawaji wa taulo za kike
Kwa upande wake Miss word Vanesa Ponce ameshukuru kwa kuja Tanzania ambapo ameahidi kuendelea kushirikiana na vijana wa kike katika kusambaza taulo za kike mashuleni
Hata hivyo Mrembo huyo  ameendesha zoezi la kugawa taulo za kike sambamba na upandaji wa miti katika shule ya sekondary Moshono

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mourinho kusuka kikosi chake.

Kocha mpya wa Tottenham Jose Mourinho atajaribu kumsajili tena mshambuliaji wa zamani wa Spurs Gareth Bale, 30, kutoka Real

Read More...

UNO ya Harmonize yawekwa private, Wasimamizi wa kazi zake waeleza.

Akizungumzia suala la kuripoti YouTube wimbo wa UNO, Magix amesema kuwa alimpa wiki moja Harmonize kumuomba msamaha kwa kutumia

Read More...

Bastola yadondoka na kuuwa mahakamani

Tukio la kusahangaza linalo Treand kwa sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali Afrika Kusini Addelaid Ferreira

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu