Mwanafunzi awaachia laana Wazazi kwa kumtelekeza.

In Kitaifa

Mwanafunzi wa kidato cha 6 katika Shule ya sekondari Kisomachi iliyopo Kata ya kiruwavunjo Mkoani Kilimanjaro amewalaani Wazazi wake kwa kumtelekeza kuanzia akiwa kidato cha 1 hadi cha 6 bila kujitokeza.

Photo Caption:Mwanafunzi aliyetelekezwa

Mwanafunzi huyo ambaye amejitambulisha kwa Jina la Thomas Kanyanzeze amezungumza kwa masikitiko makubwa kwani anadai wazazi wake hawajui thamami yake hivyo anashindwa kuwatathmini.

Mwanafunzi huyo ameupongeza Uongozi wa shule hiyo akiwemo Mkuu wa shule Flugens Massawe kwa kumhifadhi kwa kipindi hicho chote na kumfanya kama mtoto wake.

Kwa upande wake Mkuu wa shule Flugens massawe amesema Mwanafunzi huyo amekuwa akifanya vizuri kitaaluma japo wazazi wake wamemtupa hivyo akaahidi kumtunza hadi pale wazazi wake watakapojitokeza

Hata hivyo amewataka wazazi kutowatenga watoto wao kwani kitendo hicho ni cha ajabu na aibu sana ndani ya Jamii.

Bonyeza PLAY  hapa chini ili kusikiliza Audio alichokizungumya Mwanafunzi Thomas Kanyanzeze

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu