Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

In Kitaifa, Siasa

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika ofisi za kanda ya Victoria zilizopo Nyegezi mkoani mwanza.

Mwenyekiti huyo amefika ofisini hapo ili kupata ridhaa ya kuchaguliwa na kamati kuu ya chamadema kupeperusha bendera ya chama hicho jimbo la nyamagana kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu