Naibu Waziri amtumbua Mhandisi.

In Kitaifa

Naibu waziri ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Josephat Kandege, ameagiza kuondolewa kwa mhandisi wa manispaa ya kinondoni.

Mhandisi huyo ameshindwa kusimamia ujenzi wa hospitali ya harmashauri ya kinondoni iliyopo maeneo ya Magwepande.
Naibu waziri amesema inaonekana fedha zinazopatikana zinamzidi uwezo wake, na kumtaka katibu mkuu wa Tamisemi atafute namna ya kumuondoa na kutafuta injinia mwingine.

Lakini pia alifika katika stand kuu ya mabasi ya mikoani Ubungo, na kutoa maagizo kutumika kwa tiketi za kielectronic katika ukusanywaji wote wa mapato ya serikali.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu