Namungo FC yarejea Bongo tayari kwa ligi kuu bara

In Michezo

Kikosi cha Namungo FC kinachonolewa na Kocha Mkuu,
Hemed Moroco leo Aprili 12 kimerejea Tanzania kikitokea
nchini Zambia ili kuendelea na mechi zake za Ligi Kuu Bara.
Namungo jana Aprili ilikuwa na kibarua cha kuipeperusha
Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya
Nkana FC.


Mchezo huo dakika 90 zilikamilika kwa Nkana FC kushinda bao
1-0 dhidi ya Namungo na kufanya kikosi hicho kilicho kwenye
kundi D  kupoteza mechi zake mbili mbele ya Nkana FC.
Ule wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma
Namungo 0-2 Nkana FC. Kwenye kundi D Namungo FC ipo
nafasi ya nne bado haijakusanya pointi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu