Nchi 15 waangalizi uchaguzi mkuu 2020.

In Kitaifa

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki
Profesa Palamagamba John Kabudi amesema,uchaguzi wa
mwaka huu utakuwa na waangalizi kutoka mataifa 15.


Mbali na waangalizi kutoka katika nchi hizo pia waziri Kabudi
ameeleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu unagharamikiwa na
serikali kwa asilimia mia moja bila fedha kutoka nchi za nje.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hospitali Ya Wilaya Karagwe Yakamilika Kwa 98%

SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetumia sh. bilioni 1.8 kujenga majengo mbalimbali ya hospitali ya wilaya ya Karagwe

Read More...

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine TAWIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu

Read More...

Tamisemi Yakanusha Taarifa Iliyotolewa Na Mgombea Urais Wa Chadema,tundu Lissu

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imekanusha madai yaliyotolewa na mgombea urais wa Tanzania

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu