Ndalichako aweka jiwe la msingi Arusha

In Kitaifa

Waziri wa Elimu Sayansi na Technologia Tanzania Joyce Ndalichako ameweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa maabara changamani(kisasa) kwenye nguvu la ATOMIC Tanzania  ambayo imegharimu kiasi cha shilingi bilioni 10.4 
Aliesema kuwa tume ilianzoshwa kwa sheria ya bunge no 7 ya mwaka 2003 na kupewa majukumu makubwa 2 ambayo ni kinga ya kuthibiti matumizi salama ya mionzi, na kuhakikusha matumizi ya technologia ya Nyuklia yanaenda kwa usalama kabisa
Hata hivyo amesema ATOMOC inaendelea kuchapa kazi kwa uwaminifu amvapo ndani ya mda mfupi wamehorothesha mafanikio zaidi ya 30 amvapo wabafanta kazi kwa kasi na nidhamu ili kuweza kuondoa changamoto

Ndalichako alisema kuwa, ujenzi wa maabara changamani ni ya awamu ya pili, ambapi hawamu ta kwanza ilizinduliwa na Mh. Waziri wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa Alizindua Aprl 19 wakishirikiana na umoja wa Ulaya  ambapo una ukubwa wa mita za mraba elf kumi na mia tano (10500).
Alisema kuwa, kwa taasisi ya nguvu za ATOMIC ilianzishwa kwa lengo la kuiobgezea uwezo wa usimamizi na uendelezaji wa matumizi salama ya nguvu za Atomic Tanzania

Akizungumza kwenye uzinduzi huo mkurugenzi mkuu wa nguvu za ATOMIC Tanzania Pr. Lazaro Busagala amesema kuwa, ujenzi huo, ilianzishwa kwa sheria ya bunge ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ili kupata kinga, 

 “Tunaandika historia ya kweli katika kutekeleza elimu hapa nchini katika kuhakikisha inaboresha elimu kuimarisha sayansi ya technologia hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuendeleza matumizi salama ya Technologia hapa nchini, na katika nchi zilizopo kusini mwa Africa itakuwa maabara ya kwanza na ya kisasa” Alisema Ndalichako.

Amesema kuwa, ujenzi huo ulianza sept19 2019 na unahusisha ujenzi wa maabara 8 na hizi fedha ni za ndani kutokana na watanzania wanaolipa kodi ambapo fedha hizo zinaelekezwa kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali hapa nchini,

Alisema kuwa, Ujenzi wa maabara hii ni juhudi na sehemu ya serikali katika kutatua changamoto mbalimbali za kijamii pamoja na uchimbaji wa madini, huduma za tume, kuongeza upumaji wa sampuni za vyakula, kuhudumia watu takribani 4000, kutoa mafunzo, kuongeza tija katia sera, kusaidia sekta ya viwanda kusimamia vyema technologia, na kuzalisha wataalam zaidi

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo, amesema kuwa, mkoa wa Arusha una bahati ya kupata miradi mikubwa, yenye historia na itakuwa maabara ya kwanza Africa Mashariki, na mkoa itaendelea kushirikiana na viongozi wa nguvu za Atomic ili kuweza kuwahudumia wananchi
Amewataka wananchi kutumia fursa hii adimu katika kutatua changamoto zao na kutokuwa waoga katika kuwa salama hasa katika mazingira yanayowazunguka na kupata faida kwa kutumia maabara hiyo ya kisasa

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hospitali Ya Wilaya Karagwe Yakamilika Kwa 98%

SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imetumia sh. bilioni 1.8 kujenga majengo mbalimbali ya hospitali ya wilaya ya Karagwe

Read More...

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine TAWIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu

Read More...

Tamisemi Yakanusha Taarifa Iliyotolewa Na Mgombea Urais Wa Chadema,tundu Lissu

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imekanusha madai yaliyotolewa na mgombea urais wa Tanzania

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu